Lyrics of Ni Jaribu by Tom Close| eachamps.rw

Ni Jaribu by Tom Close

Chrs.

Sikuombi mambo mengi yenye thamani...si dhahabu si almasi....
Ombi langu ni moja #NIJARIBU Uone kwamba nakupenda....
Sikwambii upande Kilimanjaro wala kuvuka jangwa la Sahara.....
Ombi langu ni moja #NIJARIBU Uone kwamba nakupenda.....

Ohhhh ohhhh (MI Nakupenda).....
Ohhh ohhh (sintokutenda)...
Ombi langu ni moja #NIJARIBU Uone kwamba nakupenda....

 

Verse1.

NAKIRI we mrembo....
wa manukato ya marashi....
Naupenda wako mwendo . ...wa Maringo na madaha....
Walimwengu wa maneno mengi....wamekutenda pasiiii huruma...
Baby I promise....niamini sintokutenda...
Baby girl, everything I do i will maxmizo.....I will make sure u never want to go....I protect u from tornado....Ma baby yooo..

 

Chrs

Sikuombi mambo mengi yenye thamani si dhahabu si almasi...
Ombi langu ni moja...#NIJARIBU Uone kwamba nakupenda....
Sikwambii upande kilimanjaro wala kuvuka jangwa la Sahara
Ombi langu ni moja7 #NIJARIBU Uone kwamba nakupenda....
Ohhh ohhh (MI Nakupenda)
Ohhh ohhh (sintokutenda)
#NIJARIBU Uone kwamba nakupenda

 

Verse 2

Natambua sina jina, Ila mimi ni Tajiri wa mapenzi nipe ridha yako sweet love nikupende upagawe.....
Sura yako baby yanivutia....yanivutiaaa....
Nipe nafasi baby...
Bby girl everything I do i will maxmizo, i will make sure you never want to go i will protect you from tornado ma baby yoooo ...

 

Chrs

Sikuombi mambo mengi yenye thamani si dhahabu si almasi....
Sikwambii upande Kilimanjaro wala kuvuka jangwa la Sahara. . .
Ombi langu ni moja #NIJARIBU Uone kwamba nakupenda. . .
Ohhh ohhh (Mi nakupenda)
Ohhhh ohhh ohhh (sintokutenda) sintokutenda. . . .
Ombi langu ni moja #NIJARIBU Uone kwamba nakupenda. .

Ohhhh ohhh
Ombi langu ni moja nijaribu uone kwamba nakupenda..

 

Chrs

Sikuombi mambo mengi yenye thamani si dhahabu si almasi....
Sikwambii upande Kilimanjaro wala kuvuka jangwa la Sahara. . .
Ombi langu ni moja #NIJARIBU Uone kwamba nakupenda. . .
Ohhh ohhh (Mi nakupenda)
Ohhhh ohhh ohhh (sintokutenda) sintokutenda. . . .
Ombi langu ni moja #NIJARIBU Uone kwamba nakupenda. .

 

Ohhhh ohhh
Ombi langu ni moja nijaribu uone kwamba nakupenda

 

More Artist Lyrics
Uramutse wemeye lyrics

Tom Close
2,691 Views
Post Your Comment
Loading...